moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilikuwa mimi mpendwa[emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha kuna siku nilikuwa kwenye daladala nachat Jf nimejisahau ghafla nageuza Shingo naona kuna kaka katoa macho anaangalia kwenye simu yangu nilizima simu fasta nikazuga nimelala nilipofika Stendi sikuangalia nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wazo la kubadili avatar lilikuja Mama niliporudi nyumbani nikawasha simu nika log aut Jf kwa wiki ili jamaa asichomoe betri.