Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂Umenikumbusha kuna siku nilikuwa kwenye daladala nachat Jf nimejisahau ghafla nageuza Shingo naona kuna kaka katoa macho anaangalia kwenye simu yangu nilizina simu fasta nikazuga nimelala nilipofika Stendi sikuangalia nyuma😂😂😂
inafurahisha hii mie ilishanitokea nikabadili avatar fasta baada ya kushuka. wengi wanawahi avatar kabla ya id
 
1620152933153.jpeg
 
Back
Top Bottom