Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.5246240068230231E18.jpg
 
Mwaliko nimeupokea rasmi kwa mikono miwili. Tuombe uzima tu. Tena sote wawili tutakwenda kwa mzee wa Mwakaleli moja tukatandike ugali huko. Itakuwa safi sana. Na tutawawekea wanajukwaa hapa picha kabisa wajionee. Mhenga senior na wahenga juniors [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
Nakuhakikishia mi ndo kikongwe wenu kuliko nyote, subiri uone utakavyonimwagia shikamoo[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom