moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ok! Hii ni sababu unapenda manyamanyama 😃 safi sanaMarahaba mwanangu. Wewe likely uko between 25 - 31. Ni wazi nakuzidi miaka kati ya 45 - 51.
😂😂😂Nuzulati ndugu,Ningendako ndugu,Moudy ndugu,daemusin ndugu@
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wigi lipo tu kama anayetakiwa alipie kusuka hana hela.Achaneni na mawigi. Mkisuka yaani mnapendeza balaa [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1773383
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sinza kwa Remi. Will never forget. Mama Abdallah....Almost lost my life [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 1773393
Nipo Mwanza siku hizi, Mwanza na Misungwi ni karbu sana, haina shida mzee wangu, tunaonana tu, kikubwa uzima
Undugu nimeupokea kwa mikono miwili ila wasiwasi wangu ni wakudumu au wa mda😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi kwenye daladala zile za Airport nitakuwa busy kuangalia nani yuko busy na simu [emoji23][emoji23]ayaaa nikiwa kwenye daladala siingii JF. anonymous forever[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Umenikumbusha kuna siku nilikuwa kwenye daladala nachat Jf nimejisahau ghafla nageuza Shingo naona kuna kaka katoa macho anaangalia kwenye simu yangu nilizima simu fasta nikazuga nimelala nilipofika Stendi sikuangalia nyuma😂😂😂ayaaa nikiwa kwenye daladala siingii JF. anonymous forever😂😂😂😂😂
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi kwenye daladala zile za Airport nitakuwa busy kuangalia nani yuko busy na simu [emoji23][emoji23]