Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Social distancing my foot...wakati walikuwa kwenye lockdown...
IMG-20210506-WA0039.jpg
 
David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago, Abisai Steven, Angalieni Mpendu, Titus Philipo, Bakari Msulwa, Michael Katembo, Nazir Mayoka, Abdul Ngalawa, Mohammed Kisengo, Abdallah Mlawa, Hendrick Michael Libuda, Abdallah Idrissa Majura, Mikidadi Mahmoud, Rosemary Mkangara, Wilson Malosha, Damian Msangya, Nswima Ernest, Nathan Rwehabura, Betty Chalamila (Betty Mkwassa), Elisia Isabula, Aloysia Maneno, Albert Msemembo, Abdul Masoud, Chisunga Stephen, Siwatu Luanda, Tumbo Tamimu Risasi, Selemani Mkufya, Salim Mbonde, Christine Chokunegela, Kassim Mikongolo, Salama Mfamao, Zawadi Machibya, Juma Ngondae, Salim Seif Mkamba, Nelly Kedela, Dominic Chilambo, Sekioni Kitojo, Malima Ndelema, Khalid Ponera, Julius Nyaisanga, Ahmed Kipozi, Charles Hillary, Aboubakar Liongo, Penzi Nyamungumi, Sued Mwinyi

Mambo ya redio Tanzania kitambooo...kama uliwahi kuwasikia Hawa..barakoa inakuhusu
Bila kumsahau Mshindo Mkeyenge.
Kizazi cha mwisho kilicho vutia kwenye utangazaji wa mpira ni Shaban Kisu,Juma Mkamia,....
Kwa wana Yanga hatukuupenda utangazaji wa Mbonde na Omari Jongo... Basi ilikuwa afadhali ya Kitojo. Ila furaha yetu ilikuwa Ahmed Jongo na mzee wa Kipusa
 
Bila kumsahau Mshindo Mkeyenge.
Kizazi cha mwisho kilicho vutia kwenye utangazaji wa mpira ni Shaban Kisu,Juma Mkamia,....
Kwa wana Yanga hatukuupenda utangazaji wa Mbonde na Omari Jongo... Basi ilikuwa afadhali ya Kitojo. Ila furaha yetu ilikuwa Ahmed Jongo na mzee wa Kipusa
Hata hivyo Mshindo Mkeyenge ambaye aliwahi kuwa katibu mwenezi wa Yanga alitangaza mpaka mwishoni mwa miaka ya 70 au mwanzoni mwa 80.
Salim Mbonde alikuwa mnyama, Ahmed Jongo mwananchi.
Kwenye soka waliotesa sana ni Abdul Masoud Jawewa (Mwananchi), Ahmed Jongo (Mwananchi), Abdallah Idrissa Majura (mwananchi),
Salim Mbonde (mnyama) Charles Hirali (mnyama), Iddi Rashid Mchatta (mnyama), Abubakar Liongo (mnyama)
Dominick Chilambo (Pamba ya Mwanza, aka TP Lindanda aka Kawekamo).


Aseee siku hazigandi
 
Back
Top Bottom