Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msemaji kasema
FB_IMG_1620303424843.jpg
 
Hata hivyo Mshindo Mkeyenge ambaye aliwahi kuwa katibu mwenezi wa Yanga alitangaza mpaka mwishoni mwa miaka ya 70 au mwanzoni mwa 80.
Salim Mbonde alikuwa mnyama, Ahmed Jongo mwananchi.
Kwenye soka waliotesa sana ni Abdul Masoud Jawewa (Mwananchi), Ahmed Jongo (Mwananchi), Abdallah Idrissa Majura (mwananchi),
Salim Mbonde (mnyama) Charles Hilarali (mnyama), Iddi Rashid Mchatta (mnyama), Abubakar Liongo (mnyama)
Dominick Chilambo (Pamba ya Mwanza, aka TP Lindanda aka Kawekamo).


Aseee siku hazigandi
Ndiyo, mwanzoni mwa miaka ya 80. Baada ya hapo akawa muandaaji na msimamizi wa vipindi hadi umauti umemkuta miaka michache iliyopita. Jirani yangu huyu.

Kweli wewe tumekua pamoja kimpira
 
Back
Top Bottom