BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
😍😍😍
Huyu mzee alikuwa na nyumba pale kwetu mtaa MomboNdiyo, mwanzoni mwa miaka ya 80. Baada ya hapo akawa muandaaji na msimamizi wa vipindi hadi umauti umemkuta miaka michache iliyopita. Jirani yangu huyu.
Kweli wewe tumekua pamoja kimpira
Waalimu na wanafunzi poleni..
Tupa ndani!Huyu ndiyo Chawa View attachment 1775581