andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nyumba moja kabla ya Ndolanga kuelekea msikitini.Huyu mzee alikuwa na nyumba pale kwetu mtaa Mombo
Nyumba moja kabla ya Ndolanga kuelekea msikitini.Huyu mzee alikuwa na nyumba pale kwetu mtaa Mombo
Ndiyo na sasa naona anaishi hapo mwanaweNyumba moja kabla ya Ndolanga kuelekea msikitini.
Huo mkwanja anao au anatoa ahadi hewa?!!Msemaji kasemaView attachment 1775348
[emoji120][emoji120]Wakulima wote hongereni sana..
[emoji23][emoji23][emoji23]Tupa ndani!
Waarabu wa Pemba....Huo mkwanja anao au anatoa ahadi hewa?!!
Mwanae yupi? Banza (chapombe) au Abdilah (mchezaji wa Kajumulo)?Ndiyo na sasa naona anaishi hapo mwanawe