Manchester City wanatafakari uwezekano wa kumnunua mchezaji wa kimataifa wa Mali Bissouma, baada ya kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kumsaka Declan Rice, 22 wa West Ham'. (Star)
Chelsea itawauza walinzi wake kukusanya fedha za kuwanunua wachezaji wengine, wanaopigiwa upatu kuondoka Stamford Bridge ni Marcos Alonso, 30, na Emerson Palmieri, 26. (Goal)
Atletico Madrid wanamnyatia kiungo wa kati wa Barcelona aliye na umri wa chini ya miaka 21-Mhispania Riqui Puigmsimu huu wa joto. (Fichajes - in Spanish)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.