Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hopulesi. Pesa zenyewe kiduchu ndo zinamharibia kazi. Kula rushwa ya milioni 500 hata ukikamatwa pata potea! But again kila mtu hula kulingana na urefu wa kamba yake.
Hopulesi. Pesa zenyewe kiduchu ndo zinamharibia kazi. Kula rushwa ya milioni 500 hata ukikamatwa pata potea! But again kila mtu hula kulingana na urefu wa kamba yake.
[emoji678]
Nayajua basi.
Kiherehere tu kimenshika [emoji6]
Ukilala moyo unapumzika. Na kwa moyo wenye afya unatakiwa upige si zaidi ya mara 60 kwa dakika. Wafanya mazoezi na wanamichezo mapigo ya mioyo yao yaweza kushuka mpaka hata 40 kwa dakika moja wakati wamelala. Kama moyo wako unapiga zaidi ya mara 75 kwa dakika hata ukiwa umelala, hiyo ni dalili mbaya na ni kiashiria kikubwa kwamba pew gine kuna tatizo kama siyo sasa basi ni huko mbele ya safari. Ni wakati wa kwenda kuonana na daktari
Ukilala moyo unapumzika. Na kwa moyo wenye afya unatakiwa upige si zaidi ya mara 60 kwa dakika. Wafanya mazoezi na wanamichezo mapigo ya mioyo yao yaweza kushuka mpaka hata 40 kwa dakika moja wakati wamelala. Kama moyo wako unapiga zaidi ya mara 75 kwa dakika hata ukiwa umelala, hiyo ni dalili mbaya na ni kiashiria kikubwa kwamba pengine kuna tatizo kama siyo sasa basi ni huko mbele ya safari. Ni wakati wa kwenda kuonana na daktari
HawajamboWananzego wanasema nini huko.