Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madonna aliwahi kuvujisha albamu yake makusudi mtandaoni ambapo kila wimbo ukiucheza ilikua ikisikika sauti yake pekee ikisema "Ni ujinga gani unataka kufanya?". Kilichotokea mdukuaji (Hacker) alivujisha albamu halisi yote iliyoambatana na ujumbe "Huu ndio ujinga niliokua nafikiria kufanya."
 
Jean-Pierre Adams alikua ni mchezaji mpira wa taifa la Ufaransa, Mwaka 1982 alifanyiwa upasuaji na kuna makosa kadhaa yalifanyika kipindi cha Upasuaji hali iliyopelekea azimie (Coma) kuanzia mwaka huo mpaka sasa. Mke wake bado anaendelea kumhudumia kama kawaida na hufanya nae sherehe zote muhimu kama Siku yake ya kuzaliwa, Ukumbusho wa ndoa yao etc.
 
Watani wa jadi
FB_IMG_1620331256822.jpg
 
Back
Top Bottom