Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Klabu ya Lyon could inaweza kutuma ofa ya usajili kwa klabu ya Atletico Madrid ili kumnasa beki wake Mbrazili Renan Lodi, 23. (L'Equipe)
barabara katoboa siri aiseeee mwanamke ni mwanamke tu kukaa na siri kwa sekunde😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi kuna siri gani hapo bint mpole, mi sijaelewa ?barabara katoboa siri aiseeee mwanamke ni mwanamke tu kukaa na siri kwa sekunde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
serikali inakana haikutoa maagizo barabara anasema serikali ndio iliyosogeza muda na sio tffHivi kuna siri gani hapo bint mpole, mi sijaelewa ?
Hafai kabisaangenyongwa kabisa
Lakini vilabu vyenyewe si vilipokea maagizo toka TFF!serikali inakana haikutoa maagizo barabara anasema serikali ndio iliyosogeza muda na sio tff