moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
aah nimesahau moud ni shabiki wa simba tungekua enzi za mwenda zake tungekua tunaongea lugha moja ya serikali kuwa dikteta kwenye michezoLakini vilabu vyenyewe si vilipokea maagizo toka TFF!
Tuseme basi TFF ndiyo iliyobadirisha ratiba
"Barabara" anazijua sheria na fitina za mpira wa Kiswahili au anaongelea ajira na makato kwa wafanyakazi wa MO?