Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
barabara katoboa siri aiseeee mwanamke ni mwanamke tu kukaa na siri kwa sekunde😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi kuna siri gani hapo bint mpole, mi sijaelewa ?barabara katoboa siri aiseeee mwanamke ni mwanamke tu kukaa na siri kwa sekunde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
serikali inakana haikutoa maagizo barabara anasema serikali ndio iliyosogeza muda na sio tffHivi kuna siri gani hapo bint mpole, mi sijaelewa ?
Hafai kabisaangenyongwa kabisa
Lakini vilabu vyenyewe si vilipokea maagizo toka TFF!serikali inakana haikutoa maagizo barabara anasema serikali ndio iliyosogeza muda na sio tff