Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Piko na Hinna; Mambo ya ukanda wa pwani hayo
Zanzibar Tangaaaaaa Mombasa Aminiaaa.. Sio mchezo mademu wa kanda ya pwaniwww.jamiiforums.com
Vipi bro? Ndo ugonjwa wako huu nini?Urembo wa Picco na Henna
Urembo huu ni moja kati ya mitindo yenye kupendeza na kuvutia. Ni mtindo maarufu sana kwenye maeneo ya pwani hususani ni Tanga, Unguja, Pemba Dar es salaam na Mombasa, na hata kwenye maeneo mengine pia fashion hii ila nadhani wote tutakubaliana ya kuwa kwa hakika ukanda wa pwani ndio kiboko...www.jamiiforums.com
Ndio bro, moja ya ugonjwa wangu huu, napenda sana nione mdada amejichora hii michoro, huwa wanavutia na kupendeza sana..Vipi bro? Ndo ugonjwa wako huu nini?
Eid hii kuna mtu namsikilizia. Kaniahidi kujichora mwili mzima halafu anionyeshe atakavyopendeza [emoji39][emoji39][emoji39]
Safii
SafiiππππView attachment 1782660
MfalmeMnyama shombe View attachment 1782680