Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tunasubiri mkuu mpya wa TAKUKURU aipitie Miamala yake tuone uhalali wa utajiri wake.
Mbona umeadimika sana,Alexander [emoji7][emoji91]
Wametufurahisha sana livapuu[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabaya wake roho zinawauma
UmeelewekaWazee wa kuunyukaa,tunaelewanaa?View attachment 1786196
Wabaya wake roho zinawauma
Wale waliodhani watakuwepo hapo milele muda huu wanaumiaMwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu Joseph Sokoine ni mtu poa sana kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake. Uteuzi wake umenifurahisha sana.
Nipo hapa TMK ustaadh.Mbona umeadimika sana,
Kama uko Ileje nijurishe nitakuwa huko siku si nyingi
Mama wa kiafrika.
Kesho njoo mahali panaitwa "Uwakiki" ufurahie kufungwa Simba bao 4 na ushindi wa bao 4 wa LiverpoolNipo hapa TMK ustaadh.
Njoo tupate Moja baridi moja moto,tukifurahi kunyukwa kwa simba na ushindi wetu livapuu.