Kwenye safari ya mafanikio yako sikuzote huwa kuna "Sisi" na sio "Mimi", Usifikiri wewe peke yako unaweza kufanikisha mambo. Huwa kuna mtu nyuma yako ambae anakuombea na kukutakia mafanikio mazuri zaidi, Usikubali kumpoteza mtu huyo." Danish Aslam
Kuna watu wanapenda tu kuwasumbua watu wengine bila kuwa na sababu maalum, Wataalam wa Saikolojia hali hiyo huiweka kuwa kwenye kundi la watu wanaosumbuliwa na "Affective Negative Presence".
Mishipa ya neva kazi yake kubwa ni kusafirisha taarifa mbalimbali mwilini kutokana na kitendo husika, Mfano ukiumia kuna mishipa hufanya kazi ya kukupa taarifa eneo ambalo umeumia