Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimefurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni muda mrefu sijamuona hapa, huenda majukumu yakawa yamembana, hope hajambo anapambana na maisha ya kila siku[emoji120]Wapi Kijana Mpole jamani? Is he OK?
😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona yeye alifurahia kifo shuain zakeDuu, [emoji849][emoji849]
Usifurahie magumu ya wengine
kuliko hata wanaobetKuliko jamiiforums na insta?
Kuna siku nimeandika lugha kali humu,katika watu kunisema naye akawa anasapoti..nikasema hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku yeye ndio kinara wa kushambulia wenzie hasa mtu akiwa na mtazamo tofauti na wake[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutu!!!kuliko hata wanaobet
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha..
Paparazi shida 'ake hilo chura[emoji39]
😂😂😂😂😂😂😂Thubutu!!!
kubet ni habari nyingine wewe, jaribu uone.
Hela ya kubeti hutanunualia hata bando[emoji23]
ana tabia na roho mbaya sana halafu hachelewi kujigeuza victim na kuanza kumtaja Sir God. Siku ile ulikua sahihi aiseee ningekua mie wangenitambua😂😂😂😂😂😂Kuna siku nimeandika lugha kali humu,katika watu kunisema naye akawa anasapoti..nikasema hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku yeye ndio kinara wa kushambulia wenzie hasa mtu akiwa na mtazamo tofauti na wake[emoji1787]
Nikajifikiria sijui nimjibu[emoji16],nikaamua kuacha tu maana tayari Moto ulikuwa umeshakolea Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.ana tabia na roho mbaya sana halafu hachelewi kujigeuza victim na kuanza kumtaja Sir God. Siku ile ulikua sahihi aiseee ningekua mie wangenitambua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wana wivu hadi kwa marehemuMimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.
Nayeye akaunga mkono mimi kushambuliwa kwa sababu tu anasapoti alichokiongea Nape (wanamkomoa Marehemu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wanapambana na marehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wana wivu hadi kwa marehemu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wabongo wanapambana na marehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni marehemu ila bado anawanyoosha watu huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe wa humu akipata ban unajuaje bro? Kuna notification unatumiwa?Kuna memba humu amepata ban..
Kunakuwa na bango kubwa kwenye avatar yake likifuatiwa na nyotanyota kama za mamod kwenye username,nyota 2 kubwa zinazoashiria usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Membe wa humu akipata ban unajuaje bro? Kuna notification unatumiwa?