Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Una muda mdogo sana, kamwe usijaribu kupoteza kwa kuishi maisha ya mtu mwingine." Steve Jobs
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
100%Ubaya wa watu wanaokupenda hawasemi, Wanaokuchukia hawakujui, Wanaichukia ile sura ya nje." Ruge Mutahaba
Dah"Usihangaike na sifa unazopewa wakati upo sehemu hiyo, Sifa za kweli ni zile ambazo unapewa wakati mwenyewe haupo, hizo zingine ni kelele za wapiga debe." Ruge Mutahaba