Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mafanikio yanahitaji uvumilivu.
Mambo mrembo? Hope uko poa hapo maeneo ya Kisesa..Umasikini umepitwa na wakati, ujanja ni kufanikiwa.
Subira ni kitu muhimu sana.Mimi nilimshambulia Nape,wenyewe wakaja kunishambulia mie[emoji1787]badala wajadili hoja yangu.
Nayeye akaunga mkono mimi kushambuliwa kwa sababu tu anasapoti alichokiongea Nape (wanamkomoa Marehemu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe wa humu akipata ban unajuaje bro? Kuna notification unatumiwa?
Aah ok sawa Annie, shukrani
poa kijana wa maduka sabaMambo mrembo? Hope uko poa hapo maeneo ya Kisesa..
Kuna siku uliweka link ya drama moja ya kikorea hapa jukwani, nami nikajarbu kuishusha kwa kupitia ile link, mwisho wa siku nikafeli... Sasa sijui nilikosea wapi? Maana hizi za kikorea zinanishinda kuzishusha..
Hapo chini nmeambatanisha na screenshot ya pale nilipofikia
View attachment 1789698
Ni kweli ustaadh.Subira ni kitu muhimu sana.
Jitahidi usemezani na watu kwa weledi, ukiona unayesemezana naye anakupeleka kwenye shari jitoe.
Subira na uvumilivu siyo udhaifu wala si ujinga ni UJASIRI.
Vyama au watu tunaowatetea humu hawana cha maana kikubwa wanachotupatia, ni mapenzi tu.
Hata kama anayetukanwa ni mzazi wetu, hatuna cha kufanya tukubali ukweli huo, maana amejiingiza mwenyewe kwenye kazi ya jamii.
Kwa kawaida ukiona kundi kubwa la watu jua kuwa siyo wote watakupenda, kuna wenye chuki na wewe bila kujali anakujua au laa, umemkosea au laa.
[emoji23][emoji23]Kioo ndie rafiki yangu bora, Nikilia kamwe hawezi kucheka." Charlie Chaplin
Ujumbe BabKubwa[emoji120][emoji120]"Kama hauifanyii kazi ndoto yako, Kuna mtu atakuajiri ili umsaidie kuifanyia kazi ndoto yake." Dhirubai Ambani
Ni kweli ustaadh.
Na mtu kuwa upande ambao hausapoti wewe ni jambo la kawaida.
Mimi siwezi kukuchukia wewe hapa eti kwa sababu tu haupo ule upande ambao mimi nipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Kuacha kutangaza biashara yako ili uweke akiba ya pesa ni sawa na kusimamisha muda ili kutunza muda," Henry Ford.
Tupo hai na tuna afya njemaUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
Ndiyo maana huwa nakusiafia sana wakati haupo ili kuepuka dhana ya aina hii[emoji120]"Usihangaike na sifa unazopewa wakati upo sehemu hiyo, Sifa za kweli ni zile ambazo unapewa wakati mwenyewe haupo, hizo zingine ni kelele za wapiga debe." Ruge Mutahaba