Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hifadhi ya Taifa Kitulo' inapatikana mpakani mwa Njombe na Mbeya. Moja ya Sifa zake za kipekee ni Bustani ya Mungu' ambapo kuna maua mengi tofauti huku jamii 30 ya maua hayo tofauti huipati sehemu nyingine yoyote Duniani.
 
Ziwa Kisiba: Linapatikana kijiji cha Lwifwa halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, nje kidogo lilipo ziwa yapo majengo yaliyoachwa na Wajerumani. Kwenye Ziwa hilo inasemekana kuna mali nyingi ziliachwa na Wajerumani wakati wanaondolewa na Waingereza.
 
Riyad Mahrez ameweka historia ya kuwa mchezaji wa pili kutoka Algeria kufika fainali ya UEFA baada ya Rabah Madjer aliefanya hivyo mwaka 1987 akiwa na FC Porto.
Naona mara hii huyu anachukua Kombe.
Angalau atakuwa miongoni mwa wachezaji walioisaidia Man City kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza
Hongera sana kwake Mahrez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…