Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pambana mpendwa usikate tamaa kwa hili
Si kweli mpendwa π
Ni suala la muda mpendwa, napambana
Ha ha ha ha hadi nikuona kwenye daladala za igombe ndio nitathibitisha hilika humu kakorofi ka mtaani hata kuongea hakajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππHa ha ha ha hadi nikuona kwenye daladala za igombe ndio nitathibitisha hili
Binti yuko machinjioni ....
duh hatari hapo akipelekwa hosp aibu tupu kuelezea chanzo cha tatizoBinti yuko machinjioni ....
Kuna mwingine nimemuona huko kachezea mjurubeng akapata mshindo uliopitiliza mpaka kapoteza fahamu na taya moja limestuck. Sijui ndiyo stroke hiyo. Raha imegeuka karaha na maambyulensi juu...
Hata huyu akijichanganya tu akashindwa kupumua vizuri huku anapelekewa moto sawasawa anaweza kuzima huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]