Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema bro? Hujagongana na Esta kwenye daladala huko jijini kwetu? Imagine ndiyo unamdukua laivu ailkishusha hizi tafiti zake dah !

(Kuna siku mliligusia hili jambo [emoji16])
Kwema bro, habari za uzima?

Esta mjanja mjanja sana huyu, akiwa kwenye daladala simu anaitia kwenye mkoba wake, ni bora akute missed call ila sio kutoa simu kwenye daladala[emoji28][emoji2]

Sasa hivi natembelea sana daladala za Kisesa[emoji2]
 
Usikate tamaa. Utagongana naye siku moja. Ni suala la muda tu!
 
Kwema bro, habari za uzima?

Esta mjanja mjanja sana huyu, akiwa kwenye daladala simu anaitia kwenye mkoba wake, ni bora akute missed call ila sio kutoa simu kwenye daladala[emoji28][emoji2]

Sasa hivi natembelea sana daladala za Kisesa[emoji2]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂oooh ngoja nianze kupanda za igombe
 
Back
Top Bottom