Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Inakadiriwa angalau 5% hadi 15% ya wanaume hawana hamu ya tendo la ndoa tatizo huongezeka vile umri unavyosonga
Shemeji njoo. Tafiti za Esta zimepamba moto huku [emoji16][emoji16][emoji16]Ingawa wanaume wanaweza kushiriki tendo la ndoa hadi uzeeni ila nguvu za kiume hupungua kulingana na umri unavyoongezeka, wanaume wanaweza kuchelewa kusimamisha, kuwahi kufikia mshindo na shahawa kutoka kwa uchache au kasi ndogo sana.
Kwema bro? Hujagongana na Esta kwenye daladala huko jijini kwetu? Imagine ndiyo unamdukua laivu ailkishusha hizi tafiti zake dah ![emoji28][emoji28]