Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii ni nini?Bugatti Voiture Noire' huenda likarudishwa sokoni tena mwishoni mwa mwezi huu, Bei yake ni Tzs. Bilioni 41.7 na kubadilisha oili tu gharama yake inaweza kufikia mpaka Tzs. Milioni 57.9.
ππππππ
google hapa likes tuHii ni nini?
Aina ya gari, au?
πPain makes you stronger. Tears make you braver. Heartbreak makes you wiser. And dry K Vant makes you not remember any of that crap.
Dj khaled ft lil wayne & Jeremiah be thankful Ngoma nyingine kali hii
Hata mimi nimeshangaa sana Mkuu. Ngoja nifukue makaburi yake humu.πππ
Lugumi tena?
πππMSEMO WA LEO: "Mapenzi ni kama uyoga; leo mboga, kesho sumu." ~ Waswahili.
Salama mkuuNiaje humu