Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16]Wameimba tayali mpendwa?
😂😂😂Kumbe mpendwa we ni shabiki wa Simba kuliko hata Manyara duh!
Kuna taarifa nmeona leo, Chelsea kama wameanza kumpotezea Kane na wako na mpango wa kumchukua Lewandowsk..
- thomas tuchel pia ameuzungumzia usajili wake, chelsea wanahitaji zaidi mfungaji kuliko mshambuliaji na kwa haary kane utakuwa ni usajili sahihi
- guardiola mnamo mwezi wa 4 alisema hategemei kusajili mshambuliaji, sijui kama ataendelea kusimamia kauli hiyo ni mind games
- psg wanamtaka moise kane na tayari everton wameshawaambia wajiandae na paundi millioni 40
- si rahisi kwa kane kucheza nje ya uingereza
- madrid wanamhitaji zaidi kylian mbappe
- barcelona wameshajificha kwa kun agueroo
- man utd tumejificha kwa cavani, mwaka ujao tutakwenda kwa haaland
Ulikwenda?mukishinda goli la 3 nitakwenda kuangalia mechi yenu kwa jirani
Nyumbani hatuna Azam wala dishi la simba
tuna dishi la kupikia maharage ya mbeya tu
Niliwahi ona pia MALCOM LUMUMBA amecomment sehemu kuhusu hili swala la kubinya vichwa.hahahahahaaa wale wanaotoa madenda mara nyingi wanakuwa wametolewa kafara za utajiri na wazazi wao
wahindi na waarabu wanao mtindo huo(wanafuga watoto matahira nyumbani mwao, wengine huwekwa madukani)
siku hizi sisi wapemba pia tunaiga
====================
hivyo hakuna uhusiano kati ya kutokuwa na kichogo na kuwa kilaza, tahira, mtoa madenda, chizi, kulegea.
utafiti wa jamaa ni wa kijinga
Hata kama ni wafupi ila tumejitahidi leo japo tumetolewaWameimba tayali mpendwa?
labda kukandwa mwili (pamoja na kichwa) ila hilo la kubinywa halina ukweli wowote.Niliwahi ona pia MALCOM LUMUMBA amecomment sehemu kuhusu hili swala la kubinya vichwa.
Nadhani kuna kaukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paap toto la Bariadi limejichora NINGE hapo dah! Ni kulipa mahari tu maana hakuna namna nyingine.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] dah bro umenichekesha sana aisee, hapo lazima nitoboke ng'ombe wa wakutosha,na Bariadi moja wanavyohusudu rangi ya Mtume... Unaweza tajiwa idadi ya ng'ombe ukaondoka bila kuagaMara paap toto la Bariadi limejichora NINGE hapo dah! Ni kulipa mahari tu maana hakuna namna nyingine.