Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Ile game ya kwanza ilipaswa tupate angalau goli moja.Poleni bro, approach ya game ya kwanza ndio imewagharimu leo,ila mmeonesha kiwango safi kabsa, kudos
Hahah!Ile game ya kwanza ilipaswa tupate angalau goli moja.
Hata hivyo nimeridhishwa na matokeo.
Yaliyopita si ndwele...
Safi bro!Ile game ya kwanza ilipaswa tupate angalau goli moja.
Hata hivyo nimeridhishwa na matokeo.
Yaliyopita si ndwele...
"mkaokoteamo"...Hahah!
Shukuruni asbh waliroga roga ndio mkaokoteamo hayo mabao matatu[emoji81]
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeona sehemu wanasema maana yake ni baba😂😂😂😂😂😂😂
nimeona sehemu wanasema maana yake ni baba
kwa lugha ya brazil sijui ndio kireno
huyo mtoto ni wa fred wa man utd
Erling Haaland becomes the first Under-21 player to reach the 40-goal mark in a season with a European Top 5 club in an official competition since Ronaldo with FC Barcelona in 1996/97.
===========
hili toto nimelizidi kwa miaka kadhaa lakini limenizidi kimaisha
View attachment 1794296
kuna mchezaji mmoja wa rwanda alikuwa anaitwa peke yake trisenge au ******* (nimeshasahau)Umenikumbusha yule Balozi wa Zambia musenge ambaye mwendazake alikataa awe balozi wao nchini.