Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wewe ni Simba hivi eeeh?😀😀😀Boring sunday
Fasi ya hapa Goma mambo si mazuri.
Tangia magharibi ya jana hatuna amani kabisa.
Huko ca va bien?
Mimi ni yangaWewe ni Simba hivi eeeh?😀😀😀
Nakusalimia kwa jina la muungano dada.
Duh🙄
Sasa furaha imetowekaje?Mimi ni yanga
Marahabaaa,naitikia kipigo kiendelee kwa simba
Haya, za masiku tele?waaow hio lugha mwanawane ningeni acha niitikie bien😂😂😂
ghafla tu ikaniponyokaSasa furaha imetowekaje?
salama kabisa,za ulipo?Haya, za masiku tele?
Ni njema pia, namshukuru Mungu.salama kabisa,za ulipo?
Kumbe Jukwaa ipo vzr hii, imetoa mabalozi wawili kwa mpigohuyo ni balozi mteuliwa (mtumishi wa mkwere)
ndio yule bwana togolani sijui tuvulani
atajua mwenyewe