BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Poleni mlio safarini, Tunawaombea mfike salama...
Poleni mliotoka kazini., mapumziko mema
Mnaoendelea na kazi poleni sana....
Poleni wa sokoni na dukani...
Poleni wa daladala na bajaji...Uhai ni muhimu sana, chunga barabarani
Wakusoma wote na waalimu wenu hongereni....
Walezi wa familia tunawapa pongezi sana....
Wakulima ndio wanaotupa uhai, hongera wakulima wote...
Mungu awaponye wagonjwa woteππ
Mungu atupe afya na uzimaππ
Mungu atupe amani ππ
Kuelekea jioni,..
15:33
Amani na upendo jioni yetu
Hivi ni kweli ameshinikiza ama ni maneno tu ya watu!Bado tuna safari ndefu sana Mkuu. Na huyu mama namfahamu kwa karibu pia alikuwa hana hizi tabia na siku zote wote wanaomfahamu walimmwagia sifa tele kwamba ni mfano wa kuigwa. Kumbe alikuwa kaficha tu makucha yake.
OkMwanamke anapofika kileleni huongeza kasi ya mbegu ya kiume yenye Kromosomu "Y" kukutana na yai ili kufanya mimba ya mtoto wa kiume, Hivyo kama unataka kupata mtoto wa kiume hakikisha unamfikisha mwanamke kileleni.
wakilalamika wao ni sawa wakilalamika wengine inaonekana ni sukuma gangπππππbongo raha sanaHivi ni kweli ameshinikiza ama ni maneno tu ya watu!
Pengine Rais amemuona huyo mdogo wake anafaa,akaamua kumteua..
Ila wabongo[emoji23][emoji119][emoji119]
Kila kitu ni kulalamika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanamke kuna faida ipi?Kujichua (punyeto) hutajwa kuwa na faida kwa mwanaume hasa katika kuongeza ubora wa mbegu na kufanya uwezo wa kutunga mimba kuwa mkubwa zaidi.Kumbuka: Hakuna tafiti yoyote ya kisayansi iliyothibitisha kwamba kujichua kuna madhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakilalamika wao ni sawa wakilalamika wengine inaonekana ni sukuma gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bongo raha sana
πππππhuwa nawaona wajinga wajinga flani hivi. wanapenda freedom of speech iwe kwao tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wananichekesha,tukimkosoa sisi hawataki kabisa,wwatatukana na kutuita sukuma gang..
Wakimkosoa wao ni sawa kabisa .
2025 sijui watahamia upande gani [emoji1787]
Maana sasahivi wanamsifia mama ili kumkomoa marehemu. .Sasa wakianza kampeni sijui wataenda na upepo gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππKwa mwanamke kuna faida ipi?
Nawasilisha.