Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

His withdrawal didn’t immediately affect Chelsea, however, as they opened the scoring through Kai Havertz three minutes afterwards.

Silva has defied his advancing years to feature in 33 matches for Chelsea this season having joined on a free after leaving PSG last summer.

The defender did have a thigh injury that ruled him out of seven matches in February and March before he returned to Thomas Tuchel's side to play both legs of the Champions League semi-final with Real Madrid and the FA Cup final with Leicester
 
Kabisa Mkuu lakini huku kwetu ukimpinga dikteta unaonekana huna uzalendo, unaleta uchochezi nchini na wakati huo huo kuna ushahidi chungu nzima wa kuonyesha huyo dikteta anavyokumbatia maovu mbali mbali ikiwemo mauaji yanayofanywa na watu wake.
Kwenye nchi zenye demokrasia ya kweli mtawala wa hivyo (siyo kiongozi) anakuwa 'impeached' upesi
 
Hivi baada ya Barcelona huyu kocha alichukua UCL na timu gani nyingine?
FB_IMG_1622323094106.jpg
 
Back
Top Bottom