Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1622347197820.jpg
 
Sheria za enzi za ujima.
Sheria hizi zinatumika kuwakwaza wake wa halali.
Marehemu kaka yangu alikuwa na watoto wengi wa ndoa za mchepuko, alichokuwa anafanya kila mwanamke anayezaa naye anamjengea nyumba au atampa kiwanja kwa makubaliano asije kujipendekeza mbele ya familia yake.
Huwezi kuamini yule bro alivyofariki kuna mmoja akaja kuleta longolongo ili apate chochote kitu.
Wenzake wote walipiga kimya ila huyo mmoja, daa alisumbua sana asee.
Aisee
 
Back
Top Bottom