Mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero,33, amekataa ofa kutoka Juventus kujiunga nao na atajiunga na Barcelona kwa uhamisho wa bure akitokea Manchester City. (Mundo Deportivo-in Spanish)
Leeds United wana nia ya kumnasa beki wa kushoto wa Uhispania anayekipiga Huesca Javi Galan,26, ambaye kipengele chake cha uhamisho katika mkataba wake kimeshuka mpaka pauni milioni 3.5. (Football Insider)