myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee![]()
Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini
Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...www.jamiiforums.com