Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MWANAFUNZI wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Petronel Mwanisawa (22) amefariki dunia kwa kunyongwa na mpenzi wake huku chanzo kikisemekana kuwa ni wivu wa mapenzi.
Mapenzi tenaaa,dah...
Mungu amlaze mahali pema huyu binti,pia awasaidie vijana kujua mapenzi ni maisha ya kawaida ya binadamu sio vita au umiliki wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…