Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
14. Chumvi ni muhimu kwa ajili ya kusawazisha kiasi cha sukari kwenye damu, hivyo kuzuia ugonjwa wa kisukari.
Duuh!
Afu kuna watetezi wa huo ubatili🙄
Sawasawa9. Matatizo ya kibofu cha mkojo na upotevu wa mkojo wa makusudi, vingeweza kurekebishwa kwa kuongeza chumvi zaidi kwenye mlo wako.