21. Chumvi ni muhimu ili kuzuia uzarishaji wa kuzidi wa mate katika kiwango kwamba yanatoka nje ya mdomo wakati umelala, kitendo hiki cha kutoa mate (udenda) wakati umelala ni dalili ya upungufu wa chumvi mwilini.
22. Chumvi ina umuhimu mkubwa katika uimarishaji wa mifupa. Ugonjwa wa mifupa (osteoporosis) kwa sehemu kubwa, ni matokeo ya upungufu wa chumvi na maji mwilini.
23. Chumvi ni muhimu katika usafishaji wa makohozi mapafuni na maji yaliyogandamana hasa kwa watu wenye pumu, ikiwa inakulazimu kusafisha koo kila wakati, ni dalili kuwa umepungukiwa chumvi.
Mkuu Watanzania wengi sana wamefanyiwa udhalimu na dhuluma za kutisha sana. Angalia hao Wazee wanavyotia huruma kwa kupotea kwa mtoto wao na wao kutojua kilichomsibu pamoja na kuiomba Serikali iwasaidie hata kujua alizikwa wapi au kutupwa wapi. Halafu hao wahuni wanajiita eti Serikali ya Wanyonge!!!!!