Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juma lijalo Barca itaongeza mkataba wa muda mrefu wa Ilaix Moriba, kiungo wa kati wa Uhispania mwenye miaka 18 aliyebaki na mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa na amekuwa akihusishwa na taarifa za kuhamia Manchester City au Manchester United. (Marca-in Spanish)
 
Leicester wanakaribia kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Boubakary Soumare,22, anayekipiga Lille na wameendelea kuvutiwa na Tammy Abraham ikiwa mshambuliaji huyo wa England, 23, ataondoka Chelsea msimu huu. (Leicester Mercury)
 
Leeds United na Brighton wamejiunga na Rangers katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Sparta Rotterdam Abdou Harroui,23, (Football Insider
 
West Brom wamemwambia kiungo wa kati wa Brazil Matheus Pereira,25, kuwa anaweza kuondoka msimu huu iwapo watapewa kiasi cha angalau pauni milioni 15. Aston villa na Brighton ni miongoni mwa timu zinazomfuatilia mchezaji huyo. (Teamtalk)
 
Ifahamike kuwa si kosa katika sheria za kimataifa kwa vyombo vya safari za anga za juu kuangusha uchafu ama mabaki duniani, lakini hilo ni suala la kimaadili ambalo nchi nyingi wamekuwa wakilitilia mkazo ili kufanya dunia kuwa eneo salama lisiloathiriwa na shughuli za anga za mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…