Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Prof Moriba anasema vyombo hivyo ni vingi sana na kunavyo takriban 26,000 vinatoshana na simu ya mkononi hadi vikubwa kama kituo cha Anga za juu .

Vyombo hivyo vimekuwa katika anga za mbali kwa miongo kadhaa na nchi nyingi zilizovipeleka juu haziko tayari kugharamika kuviondoa kwa njia salama .
 
Baadhi ya wanafamilia ya likes wameamua kujiongezea umri maara baada ya mnywa urojo kuweka hadharani umri wake, nasema hivi nitakwenda RITA na NIDA kupekuwa vyeti na vitambulisho vyenu. Siwezi kuzidiwa umri na ndugu yake capitalpool. Sikubali mwaka huu, nalinda legacyy
Unajua siku zote nilidhani upo juu ya 35
Nilipokuja Zanzibar kwa mara ya tatu katika historia yangu mwanzoni mwa 1992, kwenye fainali ya Kagame cup, wakati huo ikiitwa Afrika mashariki na kati kwenye mechi ya kihistoria Simba na Yanga,
nilikuwa na rafiki yangu mmoja mzanzibar machachari kama wewe.
Maana mnafanana sana, kisiasa, michezo na kijamii.
Huu mzaha wako hapa nilidhani ni yeye.
Angalau leo nimeelewa sasa 1991 ulikuwa hujazaliwa.
Ila usiwaze, miaka 28 ni mingi mkuu[emoji120]
 
Poleni wakulima wote..nyie ndio uti wa mgongo wa Taifa
Hali ya mambo ndiyo kama hivyo[emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_1607910472316.jpg
 
Back
Top Bottom