myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni iwe ya amani na utulivu..
😂😂😂😂😂😂jamanibabuu tafadhali niueeee
naomba tamthilia nzuri
babu niueee
anakuwa mnyonge kama eunuch anapoomba msamaha kwa mfalme
mweeehh mpaka wewe. Legacy lazima ilindwee😂😂😂 umeniamulia eeh, mie ni dada yako vile vile😬
Huu mbakuli usipomtosha apitie kwa abuu chogo aongeze atajilipia mwenyewe..The Happiness babe uje na cake ya mla urojo huku.
urojo yummy yummy.nimezipokea pongezi kwa bashasha mjukuuHuu mbakuli usipomtosha apitie kwa abuu chogo aongeze atajilipia mwenyewe..
Babu yangu mkorea, heri ya kuzaliwa na Hongera kwa kuongeza uzee🙏
View attachment 1810423
😂😂😂😂😂😂😂😂LegacyBaadhi ya wanafamilia ya likes wameamua kujiongezea umri maara baada ya mnywa urojo kuweka hadharani umri wake, nasema hivi nitakwenda RITA na NIDA kupekuwa vyeti na vitambulisho vyenu. Siwezi kuzidiwa umri na ndugu yake capitalpool. Sikubali mwaka huu, nalinda legacyy
Its good to be home(uzi wa likes)😉Umerudi mjini? Karibu sana! It feels good kukuskia tena 😀
Asante sana kaka akeKwema dadake[emoji120][emoji120]
Karibu tena kijiweni kwetu
Am here babe😉Nzuri kiasi sababu inatesa wewe kuwa mbali na mboni za macho yangu
Beautiful
Kichwa Kichafu nakusalimu pimbi wanguWenye uzi wenu leo mmekuja.
Carbamazepine yupo.
Kijana mpole yupo.
Wapi SYB.
Wapi Uniq
Wapi Kichwa Kichafu
Wapi Mzee wa liver
Wapi Malkia mchawi
Wapi Rutta.
Njooni tugonge likes kama zamani
Legacy😂😂Baadhi ya wanafamilia ya likes wameamua kujiongezea umri maara baada ya mnywa urojo kuweka hadharani umri wake, nasema hivi nitakwenda RITA na NIDA kupekuwa vyeti na vitambulisho vyenu. Siwezi kuzidiwa umri na ndugu yake capitalpool. Sikubali mwaka huu, nalinda legacyy
😂😂😂msukuma anakuja kuchana mkekatambo zote hizi akija handsome boy wa kisukuma utamsikia
mwaka 1993 ndio mwaka ambao nachukua PHD yangu ya sheria za kilimwengu
Absolutely! Hofu kwakoIts good to be home(uzi wa likes)😉
Hope uko poa