andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yaani kijana wetu kabisa hatukumbuki sisi wazee?I am missing you more Darling, U hali gani barafu wa moyo wangu
Tukimbilie wapi?
Kwema lakini?
Yaani kijana wetu kabisa hatukumbuki sisi wazee?I am missing you more Darling, U hali gani barafu wa moyo wangu
Ndio....Upo mjini?
Mimi bado nipo huku napambana na baridi
Am better now nimekuona😍I am missing you more Darling, U hali gani barafu wa moyo wangu
Ndio kipindi chake hiki... Wewe tuma bila hata ya kutolea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio....
Pole sana,kvant inafaa saiv??[emoji38]
Ankoli ndugu yangu kwema habari za siku kadhaa 😂😂😂😂[emoji125][emoji125][emoji441][emoji351][emoji350]aiwana lavyoo, everidei endi everi naiti, wilu bi tugeza...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]
😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃nakufata
😂😂😂ankooNdio kipindi chake hiki... Wewe tuma bila hata ya kutolea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umerudi mjini? Karibu sana! It feels good kukuskia tena 😀Kwahiyo coco saivi mambo yake ni mazuri?
Naomba kutoa pongezi kwa familia ya balozi Kgothalo na mwenzie capitalpool 💃💃
Ukute Dae ni dada yangu na li ID la kiume humu 😀 😀nilisubiria huyo dada ajibu nimuone shabaaash kaibuka dae na birthday yake tumeishia hapa. Wewe dada yake coco huko ulipo wekapo basi hata ka like tena ka kopa tukutambuepo.