Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watalaam wa afya mnatuchanganya,
Tunaambiwa chumvi siyo chakula salama maana inaongeza tatizo kwenye moyo na magonjwa ya sukari na tunaambiwa pia chumvi isiyo sagwa kama unavyosema ina leta tatizo lingine kwenye mfumo afya ya binadam.
Na hili leo nazidi kuchanganyikiwa[emoji15][emoji15][emoji15]

Basi nitakula chumvi, liwalo na liwe
Unajibizana na utafiti wa Esta?!!
Utafiti pekee ninao uamini toka kwake ni wa nguvu za kiume na ulevi wa matako makubwa basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Happy birthday daemusin. Wanauzi tunaserebuka kusherehekea kuzaliwa kwa dae mzenji asie na makuu mzenji pekee ndani ya uzi huu anayetupa burudani za kila aina,asiyetusimanga wala kututolea povu kama wa kule siasani.

Awesome mjukuu😂😂🏃🏃🏃
View attachment 1810186
raha sana
daemusin demka, demka, demkaaaa tukuoneeee🎵🎹
wenye wivu wajinyonge, daemusin demka tukuonee🎵🎵

wenye vichogo ndugu zako, daemusin demkaaaaaa🎵🎼🎹
wanaominya vichogo watoto wao pia ndugu zako🎵🎼🎹
daemusin demkaaaa🎵🎵🎵

wacheza gemu ndugu zakoo🎵🎼🎹
daemusin demkaaaa🎵🎵🎵

wakorea wa buza ndugu zakooo🎵🎼🎹
daemusin demkaaa🎵🎼🎹

1622973769388.png
 
Happy B.DaY my lovely Sister .!
Love u very much 🎂
nilisubiria huyo dada ajibu nimuone shabaaash kaibuka dae na birthday yake tumeishia hapa. Wewe dada yake coco huko ulipo wekapo basi hata ka like tena ka kopa tukutambuepo.
leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana

mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana🎵🎵🎹
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
 
Back
Top Bottom