andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hivi mtu akisema "akawa ananishika huku na kule" anakuwa ana maanisha nini Anko?Abui kafichwa mwenzangu,kuna binti atakua anazifaidi kucha peke ake mwendo wa ngwararaaa ngwaraaaa ka kucha kakikuna huku na kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]