Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtindo wa maisha katika eneo husika

Kila eneo lina mtindo wake wa maisha. Itakuwa jambo la kusikitisha sana wewe kufungua biashara ambayo bidhaa yake ndogo kabisa ni shilingi 100,000 na wakati nguvu ya ununuzi ya watu wa eneo husika ni 1,000.
 
kikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh

wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
  1. numbisa, kazaliwa 2001
  2. the happiness, kazaliwa 2005
  3. nigendako mtoto wa juzi
  4. capitalpool, kazaliwa 2008
  5. moudgulf
  6. myoyambendi
  7. shimba ya buyenze
  8. andjul
=================
View attachment 1810171
Happy 28th bday
Kabla ya ku comment humu uwe unaamkia kwanza wakubwa zako
 
Wingi wa wakazi

Wingi wa watu katika eneo husika ni sawa sawa na mauzo zaidi au kuonekana zaidi kwa biashara yako. Haijalishi eneo lina fremu nzuri au za gharama nafuu kiasi gani, kama halina wakaazi wa kutosha litakuchelewesha sana kufikia malengo yako.
 
Happy birthday daemusin. Wanauzi tunaserebuka kusherehekea kuzaliwa kwa dae mzenji asie na makuu mzenji pekee ndani ya uzi huu anayetupa burudani za kila aina,asiyetusimanga wala kututolea povu kama wa kule siasani.

Awesome mjukuu😂😂🏃🏃🏃
1619967777935.jpg
 
Happy birthday daemusin. Wanauzi tunaserebuka kusherehekea kuzaliwa kwa dae mzenji asie na makuu mzenji pekee ndani ya uzi huu anayetupa burudani za kila aina,asiyetusimanga wala kututolea povu kama wa kule siasani.

Awesome mjukuu😂😂🏃🏃🏃
View attachment 1810186
Yeye anataka kuamkiwa wewe unamuita mjukuu?😂
 
Back
Top Bottom