Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana

mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana[emoji444][emoji444][emoji446]
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
Hongera sana mjukuu, Mungu azidi kukujaalia afya njema na maisha marefu. Hekima na busara ikawe nira yako ya kukuongoza [emoji120]

Mzee Shimba atachelewa kukuona ila ameniagiza nikufikishie keki ya kisukuma kwa niaba.
Ipokee kwa tashwishi
IMG_20210606_131530.jpg
 
Hongera sana mjukuu, Mungu azidi kukujaalia afya njema na maisha marefu. Hekima na busara ikawe nira yako ya kukuongoza [emoji120]

Mzee Shimba atachelewa kukuona ila ameniagiza nikufikishie keki ya kisukuma kwa niaba.
Ipokee kwa tashwishi View attachment 1810213
😂😂😂😂😂😂😂
 
leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana

mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana🎵🎵🎹
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
Happy birthday bishoo shabiki kindaki ndaki wa Ole
 
Back
Top Bottom