moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwema dadake[emoji120][emoji120]Poa kaka ake
Kwema?
Karibu tena kijiweni kwetu
Kwema dadake[emoji120][emoji120]Poa kaka ake
Kwema?
DahI am missing you more Darling, U hali gani barafu wa moyo wangu
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh
wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
=================
- numbisa, kazaliwa 2001
- the happiness, kazaliwa 2005
- nigendako mtoto wa juzi
- capitalpool, kazaliwa 2008
- moudgulf
- myoyambendi
- shimba ya buyenze
- andjul
View attachment 1810171
[emoji23][emoji23][emoji23]Shogayo leo kajaHellow carba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah mjukuu wangu kabisa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh bro ishu ni vipiDah
Cole ako very romantic yaani 😀
Shwari Bro?
Kwema harakati tu Wazee wetu mtuelewe 😂😂😂😂😂 kuna sehemu nikaona uncle kipenzi moyo ukastukaYaani kijana wetu kabisa hatukumbuki sisi wazee?
Tukimbilie wapi?
Kwema lakini?
Nzuri kiasi sababu inatesa wewe kuwa mbali na mboni za macho yanguAm better now nimekuona😍
Za kupotea?
Hapa ni sawa sana Bro, Vip weekend pande hizo?Fresh bro ishu ni vipi
Hahahahahaahhaa,[emoji23][emoji23]Happy birthday daemusin. Wanauzi tunaserebuka kusherehekea kuzaliwa kwa dae mzenji asie na makuu mzenji pekee ndani ya uzi huu anayetupa burudani za kila aina,asiyetusimanga wala kututolea povu kama wa kule siasani.
Awesome mjukuu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1810186
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂Hahahahahaahhaa,[emoji23][emoji23]
Duuu, si kwa mashairi hayo, khaaaa [emoji15][emoji15]
Yani dogo wa 93 nimsalimie? We kweli mla urojo!kikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh
wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
=================
- numbisa, kazaliwa 2001
- the happiness, kazaliwa 2005
- nigendako mtoto wa juzi
- capitalpool, kazaliwa 2008
- moudgulf
- myoyambendi
- shimba ya buyenze
- andjul
View attachment 1810171
Usinifanyie hivyo binti mpoleUbora wa kimataifa
Teh teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23]Unajibizana na utafiti wa Esta?!!
Utafiti pekee ninao uamini toka kwake ni wa nguvu za kiume na ulevi wa matako makubwa basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pande hizi ni safi God is good, weekend iko powa piaHapa ni sawa sana Bro, Vip weekend pande hizo?
Sounds great!Pande hizi ni safi God is good, weekend iko powa pia
leo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]Shogayo leo kaja