Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh

wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
  1. numbisa, kazaliwa 2001
  2. the happiness, kazaliwa 2005
  3. nigendako mtoto wa juzi
  4. capitalpool, kazaliwa 2008
  5. moudgulf
  6. myoyambendi
  7. shimba ya buyenze
  8. andjul
=================
View attachment 1810171
😂😂😂
 
Kwema harakati tu Wazee wetu mtuelewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nikaona uncle kipenzi moyo ukastuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukaumiaaaa
 
Baadhi ya wanafamilia ya likes wameamua kujiongezea umri maara baada ya mnywa urojo kuweka hadharani umri wake, nasema hivi nitakwenda RITA na NIDA kupekuwa vyeti na vitambulisho vyenu. Siwezi kuzidiwa umri na ndugu yake capitalpool. Sikubali mwaka huu, nalinda legacyy
 
Back
Top Bottom