Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tambo zote hizi akija handsome boy wa kisukuma utamsikia
mwaka 1993 ndio mwaka ambao nachukua PHD yangu ya sheria za kilimwengu
Last born wangu ana miaka 32; 4 yrs older than you. Wewe nakuzidi miaka 48. Yote kwa yote furahia siku yako ya kuzaliwa. Urojo sana leo...na mengineyo mengi ya kufurahisha mfanyayo huko Pemba. Una welewa mpana wa mambo mengi sana. Pure GT yaani. Kama hauko kwenye system tayari, jaribu sana ujipenyeze penyeze huko. Una mengi ya kuweza kuwasaidia wala urojo wenzio na hata siye Wasukuma wa huku bara.

Na siku ukizungukia huku Misungwi, karibu sana tule mahindi ya kuchoma kwa raha zetu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]

 
Zamani ilikuwa mtu ukifa husemwi kwa mabaya. Mambo yamebadilika sana. Mitandao imewapa watu nguvu za kusema...na kwa vile huwezi kumridhisha binadamu, wewe tenda wema na haki. Usiumize watu. Saidia wajane, wagonjwa na masikini ukiweza. Jali sana familia yako... Piga vita imara vya maisha na imani...ila ujue ukilala utasemwa tu. Mungu Atupe busara tungali hai ili tukaishi maisha yenye kumpendeza Yeye. Mengine haya ni mbwembwe tu za walimwengu [emoji1545]
 
Barcelona wanafikiria kutoa ofa iliyoboreshwa kwa kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum,30, ambaye anajiandaa kuondoka Liverpool kwa uhamisho huru, baada ya Paris St-Germain kupoteza ofa ya awali ya Barca.(Marca - in Spanish)
anakwenda PSG kwa mujibu wa fabrizio romano, gini atalipwa mara mbili ya mshahara alioahidiwa barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…