D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
🙌👏🤝👍Unajua siku zote nilidhani upo juu ya 35
Nilipokuja Zanzibar kwa mara ya tatu katika historia yangu mwanzoni mwa 1992, kwenye fainali ya Kagame cup, wakati huo ikiitwa Afrika mashariki na kati kwenye mechi ya kihistoria Simba na Yanga,
nilikuwa na rafiki yangu mmoja mzanzibar machachari kama wewe.
Maana mnafanana sana, kisiasa, michezo na kijamii.
Huu mzaha wako hapa nilidhani ni yeye.
Angalau leo nimeelewa sasa 1991 ulikuwa hujazaliwa.
Ila usiwaze, miaka 28 ni mingi mkuu[emoji120]
huo mwaka pengine wazazi wangu ndio wanaadhimisha mwaka mmoja wa ndoa yao au ndio wameoana.
kwa maana hiyo moudgulf unagonga miaka 48.
respect
tunapotumia maneno makali dhidi yenu muwe munatusahihisha na si kuyavumilia.