D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Katika hotuba yake muhimu kuliko zote aliyoitowa kwenye hoteli ya Kilimanjaro siku ya Jumaane, tarehe 15 Machi 1995, Mwalimu alianza kwa kuuzungumzia ufa mkubwa uliyoipasuwa nyumba ya Tanzania ni ufa mkubwa wa Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.
Mwalimu alitabiri kuwa ama mtikisiko utakwisha na nyumba ya Tanzania itakuwa imara, au utaendeleya na nyumba itabomoka hata ikiwa imara. Alisema lengo liwe mtikisiko usiendelee. Katika kuhamasika na kipaji cha kuzungumza alichojaaliwa Mwalimu Nyerere, kuna Mchungaji ameandika kunako blogi moja:“
Hakika alikuwa nabii, zile nyufa alizoona ziliendelea na sasa naona zimekuwa mianya mikubwa kwenye kuta. Kama hatutaangalia, nyumba yetu itabomoka na kuanguka…”