antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Duuh!Nigeria: Watakaokaidi agizo la Serikali kufungia Twitter kukabiliana na mkono wa sheria
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka mara moja kwa watu wote watakaokaidi agizo la serikali la kufungia mtandao wa kijamii wa Twitter. Mapema jana, makampuni ya simu nchini humo yalisema kuwa yametii agizo la serikali la kufungia mtandao huo wa...www.jamiiforums.com
Kabisa.. madikteta wanatamani kufungia umma zizini kama mifugoTwitter ni tishio kubwa kwa Serikali za kidhalimu duniani.
SalamaSalaam
Si huyu mdogo wetu analeta fujo😀😂😂😂😂😂😂😂 kwani ni aje??